MOTO WATEKETEZA SOKO LA SIDO MJINI MBEYA

Soko la SIDO lililokuwa mbadala baada ya soko Kuu la Mwanjelwa mjini Mbeya kuteketea kwa moto Disemba 12, 2006, na kusababisha vilio, simanzi na watu 20 kujeruhiwa, baadhi yao kupoteza fahamu baada ya mali zao za mamilioni ya fedha kuharibiwa, nalo limeteketea kwa moto.

Waandishi waliowasiliana na blogu ya Francis Godwin, Moes Ng'wati na Brandy Nelson wanaripoti kuwa tukio la kuteketea kwa soko limetokea leo asubuhi majira saa 3:10 na moto huo bado unaendelea kuwaka

No comments

Powered by Blogger.