TSSF: TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MSIMAMO WA TSSF DHIDI YA UZUSHI WA KITAPELI DHIDI YA TSSF

TSSF: TANZANIA SOCIAL SUPPORT FOUNDATION
Shirika lisilo la kiserikali yani NGOS (TSSF) limetoa taarifa kwa umma kuhusu uvumi unaovumishwa na mitandao kupitia blogs mbalimbali kwamba shirika ilo ni la kitapeli

Hivyo basi kupitia mkurugenzi wa TSSF amependa kuomba radhi kwa watanzania wote na kusema kwamba taarifa hizo si za kweli na wale wanaoendelea kuomba wafanye hivyo mpaka tarehe 30NOV.

KWA TAARIFA ZAIDI SOMA HAPO CHINI 
<<DOWNLOAD HAPA>>


No comments

Powered by Blogger.