TAARIFA | SEMINA KUBWA YA VIJANA NA WANANDOA KANISA KUU ANGLIKANA DUMILA | SOMA HAPA


TAARIFA | SEMINA KUBWA YA VIJANA NA WANANDOA KANISA KUU ANGLIKANA DUMILA | SOMA HAPA

Semina Ya Vijana Na Wanandoa Inatarajiwa kufanyika Tarehe 10. 08 . 2019 Katika Kanisa La Aglikana DUMILA Kuanzia saa 04:00 Asubuhi Hadi Saa 12:00 Jioni

Wanenaji Katika Semina Hiyo Ni Hawa Wafuatao;
 1. MAMA BISHOP ( Tumaini Njole Sehaba)
 2. PASTOR ( Neema Mgawe )
 3. KUTOKA TOP REDIO ( Riziki Hoza )
 4. MWINJILIST ( Sospeter Jonas )
Mada Kuu Zitakazofundishwa Ni Hizi Zifuatazo...
 • Je Jukumu La Kulea Familia Ni La Nani ?
 • Je Binti Kujilipia Mahali ni Sawa ?
 • Je Unawezaje Kuoa Bila Kua Na Kazi Inayokuingizia Kipato?
 • Je Unajua Kua mwanaume Hafokewi?
WAIMBAJI
 1. Levina Stevin
 2. Fikiri Nehemia
 3. Lydia Elikana
 4. Mozee Kamana
KUMBUKA: 
USISAHAU KUJA NA SADAKA YAKO YA Tsh. 5000/=, PIA CHAKULA KITATOLEWA BURE KWA WASHIRIKI WOTE.

KWA MAWASILIANO PIGA : 0655540706

WOTE MNAKARIBISHWA SANA


No comments

Powered by Blogger.