AJALI YA BASI (NEW FORCE) NA HIACE YAUWA MOROGORO LEO ASUBUHI

TAARIFA YA AJALI ILIOTOKEA MAJIRA YA ASBH MAENEO YA ROMBO

Na reporter wetu PLATVOX MSTAARABU,


Ajali ilihusisha newforce na hiace iliyotokea mlali. Kwa asilimia kubwa hiace hiyo ilibeba wafanya biashara wa soko la mawenzi waliokua wanatoka kununua nidhaa mlali.
Waliokufa ni ni watu sita. Watano palepale na mmoja aliongezekea wodini.Waliokufa - 6
Wanaume -1 dereva wa hiace
Wanawake -5 (wote walikua kwenye hiace) mmoja wao kafia wodin

Majeruhi wako 9. 
Wanawake - 3
Wanaume - 6
Nane ni kwenye hiace na konda mmoja wa newforce. 
katika hawa wote hakuna mwanafunzi wa chuo kikuu MZUMBE majeruhi wala aliefariki.MUNGU ailaze roho ya marehemu mahala pema poponi na kuwafanyia uwepesi majeruhi wote watoke salama.
Naomba kuwasilisha. 
wastaarabutz.blogspot.com

No comments

Powered by Blogger.