LOKHANO MUSIC: OFFER YA KU-RECORD NYIMBO KWA WASANII WA AINA ZOTE:


LOKHANO MUSIC: OFFER YA KU-RECORD NYIMBO KWA WASANII WA AINA ZOTE:

LOKHANO MUSIC STUDIO:
Ni studio ambayo inapatikana MOROGORO (MWEMBESONGO), Inatoa OFFER kwa wasanii wote wa morogoro hasa wale WA GOSPLE NA WA BONGO FLEVA Ku-record nyimbo kwa Tsh.40000/= tu kwa wasanii 20 tu (10 wa GOSPLE na 10 WA BONGO FLEVA).

Offer hii ni ya muda wa Mwezi mmoja tu yani kuanzia hivi sasa. Hivyo unakaribishwa katika studio za LOKHNO MUSIC ili uweze kufanya mazungumzo na management ya hapo pia ku-sign mikataba mbalimbali kwa makubaliano.

Tafadhari wahi sasa nafasi ni chache
IMETOLEWA NA,
TONY (Manager lokhano): 0719-527 167
MOZEE KAMANA( Mkurugenzi lokhano): 0712-976 597

Kwa mawasiliano piga
0652 291 150No comments

Powered by Blogger.