TAS MORO PRESENT: ALBINISM WHITE PARTY HELD ON 8 DEC 2018.


TAS MORO ( TANZANIA ALBINISM SOCIETY) 

Tanzania Albinism Society ( TAS ) Kushirikiana na LOKHANO MUSIC GROUP, Wanayaofuraha kuwaalika WATANZANIA WOTE Waliopo Morogoro Na nje ya morogoro mjini kuweza kuja katika ukumbi wa MTO MAWE TAR 08/12/2108 JUMAMOSI hii kwa dhumuni la kuweza kuwachangia ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi kuweza kuapata mahitaji yao muhimu ya kila siku!!
Sherehe hii itaambatana na STAGE PERFOMANCE mbalimbali kutoka kwa
  • 1: Wasanii kutoka sehemu mbalimbali
  • 2: Stand up comedy
  • 3: Dancers
  • 4: Fashion shows Na n.k

WATCH THE SONG VIDEO DOWN

Hivyo unaombwa sana kufika katika event hii ili tuweze kuwawezesha ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi...!!!
Ni kuanzia saa 03:00 PM - 09:00 PM
SHOW ITAKUA HOSTED BY
ADREW THE FASHION & DEJAY ZOMBIE
CONTANCTS:
O717243303 / 0716634717
24 HRS!!
WOTE MNAKARIBISHWA..!!

No comments

Powered by Blogger.